John 1:18

18Hakuna mtu yeyote aliyemwona Mungu wakati wowote, ila ni Mungu Mwana pekee, aliye kifuani mwa Baba ndiye ambaye amemdhihirisha.

Ushuhuda Wa Yahya Mbatizaji

(Mathayo 3:1-12; Marko 1:1-8; Luka 3:1-18)

Copyright information for SwhKC